WAJIBU NA MAJUKUMU YA MHUDUMU WA AFYA NGAZI YA                                              JAMII

    Read here Mwongozo wa wakufunzi wa wahuduma wa Afya

Wajibu wa Mhudumu wa afya ngazi ya jamii ni kueleimisha na kuhamsisha jamii kufanya uchunguzi wa awali ya saratani ya mlango wa kizazi na utoaji wa rufaa kwa magonjwa ya saratani. Mhudumu wa Afya ngazi ya Jamii anawajibika kufanya shughuli ambazo zitazochochea mabadiliko ya tabia na kubuni mazingira rafiki yatakayosaidia jamii kutumia huduma za afya na kubadili tabia dhidi ya mila potofu.

Download 202017

 

Related Articles